Skip to main content

Kenya ni Kipenzi

 


Kenya ni Kipenzi

Kenya ni kipenzi, nchi tulivu
Amani kaipa Mungu, daima milele
Natujivunie wana wake, tumpongeze
Kila siku, tuwe wakushukuru.

Kenya ni Kipenzi, kweli yapendeza
Tsavo, Amboseli – mbuga za wanyama
Kericho, Limuru – chai tamu sana
Kilifi, Kisumu – fuo zenye kung’aa.

Kenya ni kipenzi, nchi tulivu
Amani kaipa Mungu, daima milele
Natujivunie wana wake, tumpongeze
Kila siku, tuwe wakushukuru.

 

Pale Turkana – chimbuko la binadamu
Bonde la ufa – muujiza wake Muumba
Mombasa sawa– kisiwa shwari raha
Historia yetu tukufu – Amu (Tamu) Lamu.

Kenya ni kipenzi, nchi tulivu
Amani kaipa Mungu, daima milele
Natujivunie wana wake, tumpongeze
Kila siku, tuwe wakushukuru.

Wakenya watu wa bidii, sio wakaidi
Ukarimu pasi kuigwa, roho ya utu
Wanariadha wake sifika, ulimwengu
Kilimo, utalii, uvumbuzi, na mengi zaidi.


Kenya ni kipenzi, nchi tulivu
Amani kaipa Mungu, daima milele
Natujivunie wana wake, tumpongeze
Kila siku, tuwe wakushukuru.

Hata katika wakati wa dhiki, Kenya kweli ni nchi barikiwa na teule. Mandhari yake ni yenye kuvutia na wananchi wake wakarimu ajabu. Ndiposa ni vyema kujiuliza, ‘Nini naweza kuifanyia nchi yangu ili iimarike zaidi?’

https://www.youtube.com/watch?v=Qq7CX3yk8r4

Comments

Popular posts from this blog

#20BobSanaa

  With a heavy heart, having cried my heart out, I let go. Of these dear books with many a memory. This to support my book launches. Gladden, though, for they are on offer for as low as Kshs 20 – 20bob (exclusive of delivery costs): 1.        Betrayal in The City 320 2.        Paper Doll 320 3.        Royal Scandals 320 4.        Poems from East Africa 320 5.        Mimba Ingali Mimba 220 6.        Half a Day and Other Stories 120 7.        Kitumbua Kimeingia Mchanga 320 8.        Walenisi 420 9.        Horn of My Love 220 10.    Mayai Waziri wa Maradhi 120 11.    Brisinger 520 12.    Cabal 320 13.    The Patriot Game 320 14.    The Resurre...

Age, Dreams, Love, Death

 https://www.youtube.com/watch?v=ETIbcEdyVfk The sweet child, golden her smile Death of innocence, led to her being Love was had, made and shaped – furiously Age was come, the world and the home – to enrich. The sweet child, golden her smile Cuddly and warm is she, ‘cept when called to dine She would rather play, not away her dolls – file Tantrums she is, tantrums she does, this sweet child of mine. Age is catching up Dreams are drying up Love withers away Death rides on the highway. Dreams, the essence of all that is A business to start, a sweet one to kiss If killed, sharp is the cobra’s hiss The daring shoot the star, can’t – the moon – miss. The infant wonders, clear eyes wanders Age trickles, drips and drops to the sea There is still no dreaming of what could be Love, Death – each Being flounders. Age is catching up Dreams are drying up Love withers away Death rides on the highway. Love, some claim He and She - The First Words, deeds, faith, tr...

Angry Nairobians

  Nairobians are angry. Very angry. Perhaps, I should do a song, or some poetry piece, so that I can fully convey this: Nairobians, angry, hungry Nairobians, relatives to poverty Nairobians, has become their enemy – money Nairobians, no longer can access – honey. Nairobians, in their leaders – no hope Nairobians, unwashed – can’t afford soap The government, has lost – goodwill from the people No longer cute – the SG’s and the Governor’s dimples. Nairobi, despondency – hangs in the air Doing business, feels like living in the lion’s lair Taxes, more taxes – women can’t afford pretty hair Angry, hungry, for Nairobians – there is despair. It’s around 11pm. Nyayo House, recently declared a Corruption Free Zone. Hang around in a group outside, and some administration policeman will enquire of your business. I am here on some business. It is full house, majority seeking passports to get a breather outside the country… the National Youth Service have been seconded to assi...