Mtoto Yesu kazaliwa
Kweli ni furaha kuu
Kaja Mwokozi wa dunia
Huyu Mwana wa Mungu.
Pale Mjini Bethlehemu
Pahala palo teule
Neema kashuka usiku
Ulimwengu kajaa shangwe.
Mtoto Yesu kazaliwa
Kweli ni furaha kuu
Kaja Mwokozi wa dunia
Huyu Mwana wa Mungu.
Watoto wote natumsifu
Tuumulike mwanga wake
Akanena Bwana Yesu
Ruhusa twende kwake.
Mtoto Yesu kazaliwa
Kweli ni furaha kuu
Kaja Mwokozi wa dunia
Huyu Mwana wa Mungu.
Krismasi maana yake
nini
Kristu aishi ndani yetu
Mawazo, maneno, matendo
Yakiri uwepo wake daima.
Mtoto Yesu kazaliwa
Kweli ni furaha kuu
Kaja Mwokozi wa dunia
Huyu Mwana wa Mungu.
(ala za mziki – kinanda/piano)
Mtoto Yesu kazaliwa
Kweli ni furaha kuu
Kaja Mwokozi wa dunia
Huyu Mwana wa Mungu.
Pale Mjini Bethlehemu
Pahala palo teule
Neema kashuka usiku
Ulimwengu kajaa shangwe.
Mtoto Yesu kazaliwa
Kweli ni furaha kuu
Kaja Mwokozi wa dunia
Huyu Mwana wa Mungu.
Watoto wote natumsifu
Tuumulike mwanga wake
Akanena Bwana Yesu
Ruhusa twende kwake.
Mtoto Yesu kazaliwa
Kweli ni furaha kuu
Kaja Mwokozi wa dunia
Huyu Mwana wa Mungu.
NB: Meanwhile, I have a small ask:- I am running a campaign that will enable me launch my two books in February, end, 2024. I humbly ask of your donations of 20KES/20Kshs/20bob, towards this. The campaign is dubbed #20BobSanaa. Thanks in advance. You can also support by liking and sharing this content, or by buying these books using the following links:
‘A Funeral Dress for
Nyasuguta’ available at: https://nuriakenya.com/product/a-funeral-dress-for-nyasuguta-by-mark-mwangi/
‘Love Told, Poetry
Souled, Family Bold’ – available on Amazon Kindle at http://shorturl.at/hzALY
Buy Good Till Number: 9080911, Gatere Mwangi
Send Money: 0708 276 622, Mark Gatere
Comments
Post a Comment